Mambo ya suti kama hayo yalikua siku ya pasaka mzee mzima nilijiachia pande za masai camp kula bata na waubavu wangu na vitu kama hivyo........
pozi tofauti ndo mchezo wetu....
pozi tofauti ndo mchezo wetu....
Mmea unaoaminika kuwa ndio unaotumiwa na babu mchungaji Ambilikile kutibu mangojwa sugu ambayo yamewasumbua madaktari bingwa katika kutafuta dawa yake ila yeye anatibu kwa sht. 500 tu kama alivyoelekezwa na Mungu kwa ajili ya watu wanyonge wanaoteseka na magonjwa hayo.
hapa Mchungaji Ambilikile almaarufu Babu akimmiminia mtu dawa hiyo ambayo dozi yake ni kikombe kimoja tu.....