Mambo ya suti kama hayo yalikua siku ya pasaka mzee mzima nilijiachia pande za masai camp kula bata na waubavu wangu na vitu kama hivyo........ pozi tofauti ndo mchezo wetu....
kujipangusa mdomo ndo nilivyofunzwa baada ya kula.......
ukinchekesha nacheka sana tu mdau wangu..............................