UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS?

NOW DAYS MPANGO MZIMA NI LOLIONDO TU!!

Mmea unaoaminika kuwa ndio unaotumiwa na babu mchungaji Ambilikile kutibu mangojwa sugu ambayo yamewasumbua madaktari bingwa katika kutafuta dawa yake ila yeye anatibu kwa sht. 500 tu kama alivyoelekezwa na Mungu kwa ajili ya watu wanyonge wanaoteseka na magonjwa hayo.

hapa Mchungaji Ambilikile almaarufu Babu akimmiminia mtu dawa hiyo ambayo dozi yake ni kikombe kimoja tu.....

sufuria zinazotumika kuchemshia dawa hiyo huko loliondo............

mzigo ukiwa jikoni kabla haujaombewa tayari kwa watu ambao wanasumbuliwa na magonjwa hawajanywa dawa hiyo......

wewe amabye hujaenda anza kufikilia jinsi ya kuipangua huu msululu wa magari ambayo yamebeba wagojwa mbali mbali wanaoenda kutibiwa huko kwa Babu.