TAARIFA YA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII KUPITIA TAASISI ZAKE ZA UTAFITI KUHUSU DAWA YA MCHUNGAJI MSTAAFU AMBILIKILE MASAPILA WA SAMUNGE- LOLIONDO, AMBAZO NI: MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA (TFDA), TAASISI YA UTAFITI WA DAWA ASILI YA CHUO KIKUU CHA AFYA YA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI, (MUHAS) MKEMI MKUU WA SERIKALI (CGC), TAASISI YA TAIFA YA UTAFITI WA MAGONJWA YA BINADAMU (NIMR) JANA MCHANA WALIWEZA KUTHIBITISHA KUWA DAWA HIYO INAYOTOLEWA NA BABU HUKO LOLIONDO KUWA HAINA MADHALA YALIYOGUNDULIKA HADI HIVI SASA NA HATUA INAYOFUATA NI KUFANYA UTAFITI KWA WATU 200 AMBAO WAMEJITOLEA WAO WENYEWE NA WALIOKWISHA KUNYWA DAWA HIYO NA KUANGALIA KAMA KWELI INAWEZA KUTIBU MARADHI HAYO MATANO YALIYOTAJWA NA MCHUNGAJI HUYO MSTAAFU WA K.K.K.T AMBAYO NI UKIMWI, PUMU, SHINIKIZO LA DAMU, KANSA NA KISUKARI. PICHANI AKIONEKANA KUGAWA DAWA HIYO KWENYE VIKOMBE TAYARI KUNYWEWA NA WAGONJWA.