UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS?

MAKUMIRA UNIVERSITY WAONGOZA KWA STUDY TOUR!

Hawa ni baadhi ya wanafunzi wa chuo kikuu cha makumira wakiwa katika mbuga ya Arusha...

mpango mzima uliwezeshwa na Elisante Kifumu wa tatu kutoka kushoto mwenye t-shirt nyekundu pamoja na chura wa kwanza kushoto.


hapa ni maarufu kwa jina la water falls ni pazuri kwa kupigia picha namna hii.