UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS?

COMMEMORATING THE GENOCIDE OF KIMBARI-RWANDA

Siku hii ilikuwa ni siku ya uzuni kubwa sana kwa wenzetu wanyarwanda manake walikuwa wanakumbuka mauaji ya kikabila yaliyotokea huko nchini kwao Rwanda ila kwa hapa Tanzania nasi tuliwaunga mkono kupinga mauaji hayo yasitokee tena. hawa ni baadhi tu ya wanafunzi wa chuo kikuu cha makumira wakiwa katika maandamano ya kupinga mauaji ya Kimbari.....
Jembe la blog hii nilikuwa mmoja wao nikitoa ishala ya peace yaani amani kwa wote siku hiyo

Noel mwenye blue shirt na wenzake wakinyanyua juu bango hilo kama linavyosomeka hapo juu

hawa ni wanafunzi wa mwaka wa tatu makumira university wakipozi kwa picha ya kumbukumbu baada ya kutoka nje ya ukumbi mkubwa wa simba uliopo ndani ya AICC Arusha siku hiyo



wadau wakiendelea kutembea kama kawa siku hiyo kupinga mauaji hayo.