UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS?

MAKUMIRA UNIVERSITY LADIES TEAM!!

Hiki ndicho kikosi kazi kinachokimbiza pande za Arachuga kwa sasa kwa upande wa mpira netball, hawa madada ni baraha...


hapa wakiwa katika picha ya pamoja na kocha wao wa pili kushoto waliochuchumaa.


hapa wakila pozi


mazoezi binafsi kabla ya kuwavaa Mt. Meru university.



maelekezo kwanza kabla ya mpambano kutoka kwa captain Grace.