UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS?

SIYO MBAYA TUKIJIKUMBUSHA ZILIPENDWA.

Hapa dogo Johnson akiwa na mmoja wa mawaziri wa serikali ya wanafunzi ya TUSOMUCO iliyomaliza muda wake, huyu alikuwa waziri wa habari na mawasiliano anaitwa Mch. Komba BD3 wakifuatilia moja ya mechi za mpira wa miguu chuoni hapo.