UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS?

PASAKA HII WEE ACHA TU!!!

Watoto kama hawa hawakuwa nyuma kujiachia na msosi wa kumwaga kabla ya kwenda disco toto.............


mh!! nawe umo kweli hakuna kuremba kwenye kula aiseee mdada akikamata kitu cha pwani!!!


jeshi langu nalo halikua mbali manake kwa kula tu hawa hawajambo.........ni dogo 2ndu mwenye nyekundu, david na dick aliyechuchumaa.....


Dogo David a.k.a mgumu hakua nyuma kukamata tonge kwa jpili siku muhim sana kwa Jesus kufufuka.

Dick aki show luv na msosi wake.........