UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS?

HII NI LOSHORO KUDA DEKI!!


Hiki ni chakula maarufu sana kwa kabila la wameru wanaopatikana huku Arusha na hata wamasai, huu ni mchanganyiko wa mahindi yaliyopikwa kama kande na maziwa mgando. Duh!! mzee nilijaribu ila duh kazi ilinishinda ila ni kitamu sana.......