UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS?

HIVI KWELI HIYO 50% KWA 50% WATAIPATA KWELI??

Madada zetu sasa mnazidisha, hivi huu uvaaji unaweza kweli ukawaletea hiyo asilimia 50 kwa 50 mnayoililia kila siku bungeni? kwa mavazi haya kweli?? mi nadhani bado inabidi mjipange upya......