Tangu siku aliyoamua kugombea uongozi wa juu katika serikali ya wanafunzi chuoni makumira Mh. rais Mr. Somi aliwaahidi wanachuo kua jambo la kwanza ambalo atalivalia njuga katika uongozi wake pindi atakapoingia madarakani ni kuhakikisha kua computer zote zilizopo chuoni zinafanya kazi na hayo yamejidhihirisha hivi karibuni,hilo tumeligundua mara baada ya kufanya uchunguzi usio rasmi mwana blog dogojohnson na wadau wake wamegundua kua mambo sasa ni shwali zaidi kuliko kipindi cha nyuma coz computer zote zinafanya kazi ipasavyo na hasa zile za library kubwa ambazo zilikua tatizo. HONGERA RAIS WETU MWENYE AHADI ZA KWELI KWA WAPIGA KURA WAKO HAYO NDO MAMBO TULIYOKUA TUNAYATAKA, NATUMAINI MAMBO MENGI MAZURI YANAKUJA KATIKA UONGOZI WAKO.......
MUNGU AKUBARIKI SANA MH. RAIS BWANA SOMI.
KIP IT UP!!!