UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS?

MTOTO MDOGO LAKINI MAMBO YAKE MAKUBWA!!

Hapa simuongelei mwingina bali ni Justin Bieber ambaye kihistoria alizaliwa mnamo tar 1/03/1990 kwa maneno mengine ninaweza kusema kazaliwa katika kipindi cha mzee ruksa huko nchin Canada ila huyu dogo anakamata mkwanja wa kutosha kutokana na kipaji alichonacho katika masuala ya muziki na katika show zake anasababisha hadi watu wafe kwa sababu zinakua zinajaza kupita kiasi na hasa wakinadada wa umri wake ndo usipimie wanavyomkolea mtoto huyo......
hapa akiwa ni moja ya show yake ya live band huko marekani mzigo kama kawa unasonga kwa kwenda front....
duh!! show kama hii ingewapata rafiki zangu wa Makumira university si ndo basi tena umasikini bye bye bye......!! hapa J. Bieber akiwapagawisha mashabiki wake stejin katika moja ya show zake.
mmmmh!! mtot huyu ni noma kweli ebu ona hilo shazi la watu yaani nyomi......!!!