Hii ni habari kutoka kwa mwanadada Lady JD "Video ya Teja ime LEAK wala sija Release, nashangaa ni nani ameamua kufanya hivyo? Yote kheri tutaendelea tu kukomaa mpaka tuone mwisho",hayo ndo malalamiko ya dada yangu huyu juu ya wizi wa kazi zake sasa mimi nikiwa kama mdau mkuu wa blog hii napenda kuiomba serikali ya mheshimiwa JK iangalie kwa marefu na mapana suala hili la wizi wa kazi za wasanii, hii ni biashara at! na msanii anateseka sana katika kuandaa kazi zake alafu wajanja na wajinga wachache tu nao wanajitahidi kuwarudisha nyuma maendeleo yao kwa kulikisha kazi zao na kuziiba kwa kutengeneza kazi feki...........................jamaaaaaaaaaaaani tutafika kweli kwa mtindo huu? POLE DADA YANGU MUNGU YUPO NA ATAKULIPIA MARA ELFU.