Mkazi wa kijiji cha Siuyu, mkoani Singida akitoka katika choo kilichohezekwa kwa matawi ya miti kamaalivyokutwa na mpigapicha wetu juzi mkoani humo. Zaidi ya kaya 26,200 kwenye halmashauri ya wilaya ya Singida hazina vyoo na nyingine hutumia vyoo vya muda,hali inayochangia kutokea kwa magonjwi ya milipuko. Picha na mdau wangu Gasper Andrew.