UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS?

MAMBO YA SUMBAWANGA HAYO!!

Hapa kama walivyo kutwa na kamera yetu watu hawa wanachota maji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani bila kujali madhara ya maji hayo ya mtaloni........kama ilivyo ada ng'ombe ana matumizi mengi sana kama hivi mnavyoona wanatumika pika katika kulimia mashamba yetu, picha hii ilipigwa maeneo ya vijijini huko Sumbawanga mambo hayo!!