Kanda ya Nyanda za juu kusini kwa muda mrefu imekuwa haina maproducer wa video za muziki wa kizazi kipya lakini kwa hivi sasa ameibuka director aitwaye MAJID MSIGWA wa studio ya MAJID Studio Production iliyopo NJOMBE na kazi itakayo mtambulisha rasmi itawaijia hivi karibuni ya msanii B ALONE inaitwa AMEFULIA akimshilikisha SCOPE.Habari na picha ni kwa hisani ya mdau wangu ONESMO MSENGA a.k.a SIR ONE wa wise crew NJOMBE, KILA LA KHERI WANA KAZENI BUTI NA STUDIO YENU MTATOKA TU.