Katika pita pita zangu asubui ya leo tarehe 17/03/2010 mitaa ya mji mpya ambako ndiko kunakosadikika mboga mboga za majani kama mchicha ndipo zinapotoka na kupatikana kwa wingi nikawafuma wakina mama hawa wajasilia mali akiiosha hiyo michicha hiyo katika mto Morogoro tayari kwa kwenda kuuzwa sokoni, sasa sijui kama wajasilia mali hawa wanajua kama maji hayo si salama kwa afya ya binadamu? Kazi kwenu wana Morogoro wapenda kula mboga za majani mnaona zinapooshwa??? Haya bwana mimi simo.......???