UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS?

MITAA YA HOME HIYO WADAU WANGU....

Kutokana na maswali kua mengi kutoka kwa wadau wangu ya kwamba Morogoro natokea sehemu gani, basi nikaona siyo issue kama nikiwapigia picha ya maeneo ya kwetu mkoani humo (almaarufu kama mji kasoro bahari) kama mnavyoyaona hapa, hii ni mtaa ya station road Mkoani humo kwa wale wanaopajua basi flat hizo watakua wanazinyaka vizuri sana ni Flat za kawaida sana hizo so msije mkadai mi mtoto wa geti au wa matawi kivileeee, ila hapo ndo mnyamwezi wenu mkuu wa blog hii Dogo Johnson ndipo ninapotokea........ a.k.a mtoto wa kota.