SIKU HIYO ILIKUA NJEMA SANA KWA WANA GEOGRAPHY WA CHUO KIKUU CHA MAKUMIRA KWANI WALIFANIKISHA SAFARI YAO YA KWENDA KUTEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA HIVI KARIBUNI, PICHA WANAONEKANA NI WENYE NYUSO ZA FURAHA KUTOKA KUSHOTO WALIO KAA NI SAIDI, FATMA, ERNEST NA JOYCE WAKATI WALIO SIMAMA KUTOKA KUSHOTO NI LEKULE NA DADA JANETH. Hapa wakiwa kwenye pozi katika moja ya mapolomoko ya mto unaopatikana katika hifadhi hiyo, picha kwa hisani ya Said Salum mwana jiografia chuoni hapo mwaka wa pili aliyeweka mikono kifuani.