Dogo Johnson (wa tatu mstali wa pili) akipasha misuli moto tayali kwa kushiriki moja ya mashindano ya madarasa yanayoendelea chuoni Tumain, hiyo ni timu ya mwaka wa pili ya Humanities and social science............ na huyo wa mwisho kabisa pichani mstali wa kwanza ni Sir. Fred a.k.a SUPU akiwajibika mazoezini...................
hapa refarii akiikagua wachezaji wa akiba wa kikosi cha timu ya mwaka wa pili ya Humanities and social science katika moja ya mechi zake ilizocheza, mpaka sasa timu hiyo inaongoza kundi hilo lililoitwa la kifo (kwa kuwa na timu kali na ngumu katika mashindano hayo ya Mbuzi ambazo ni llb3, bed1 na llb2) ikiwa na point 4 huku ikishuka dimbani mala mbili na mechi yao ya mwisho ni tarehe 28 mwezi huu siku ya alhamisi...... kila la Kheri katika mechi hiyo ya mwisho ya hatua ya makundi.