KARIBU MDAU WANGU
HAYA BHAAAAANA PIA TULIENDA KUMUAGA MAMA WA MERU!!
›
hapa wadau wakimuaga kwa picha ya pamoja mama yetu wa hiyari wa huko meru............. wifi yenu au shemeji yenu huyo hapo.....................
SHINE NA CAMERA YA DOGO JOHNSON!!!
›
Mwanaharakati wa kitambo dogo johnson katika pozi................... vinega unit tuliohitimu tukiwa na baba mwenye nyumba wa kwanza kushoto ...
BAADA YA KUTUNUKIWA MZIGO ULIAMIA ROTADARM PANDE ZA USA - RIVER ARUSHA!!!
›
Hapa juu nipo na shemeji zangu..................... shemeji yenu kushoto yupo na wifi yake da libanda..................... mambo ya cheeers ...
ILI KUWA RAHA SI KITOTO!!
›
JUU mdau nipo na shemeji yenu..........yeye ana digree ya sheria........ hapa nipo na shemeji zangu na shemeji yenu.......... mabroo nao wal...
ASIKUAMBIE MTU GRADUATION IN RAHA YAKE BHAAANA!!!
›
Juu mdau katikati tukiwa na mchina kushoto na shemeji yenu kulia tukifurahia digrii zetu.... picha ya pamoja kama hivyo baada ya sherehe ya ...
SHOW LOVE TO EACH OTHER!
›
Mdau mkuu nipo na shemeji yenu juu ya ngamia.... Jina lake sipo radhi kumtaja kwa sasa ila jueni ni shemeji yenu tu, One love...!!!
MH!! MAMBO YA KARATE HAYO MAKUMIRA UNIVERSITY!!
›
Mzigo ulikuwa kipande cha jmos tar. 18 wadau makumira karate walionesha show moja kali pichani ni Innocent llb3 na mdau Tuguse uone moto wet...
BARAZA LA MAWAZIRI MAKUMIRA UNIVERSITY 2011/2012
›
THE TUMAINI UNIVERSITY STUDENTS ORGANIZATION OF MAKUMIRA UNIVERSITY COLLEGE [TUSO-MUCO] GOVERNMENT 2011-2012 FROM PRESIDENT'S OFFICE PRE...
SIYO MBAYA TUKIJIKUMBUSHA ZILIPENDWA.
›
Hapa dogo Johnson akiwa na mmoja wa mawaziri wa serikali ya wanafunzi ya TUSOMUCO iliyomaliza muda wake, huyu alikuwa waziri wa habari na ma...
COMMEMORATING THE GENOCIDE OF KIMBARI-RWANDA
›
Siku hii ilikuwa ni siku ya uzuni kubwa sana kwa wenzetu wanyarwanda manake walikuwa wanakumbuka mauaji ya kikabila yaliyotokea huko nchini ...
MAKUMIRA UNIVERSITY WAONGOZA KWA STUDY TOUR!
›
Hawa ni baadhi ya wanafunzi wa chuo kikuu cha makumira wakiwa katika mbuga ya Arusha... mpango mzima uliwezeshwa na Elisante Kifumu wa tatu...
MAKUMIRA UNIVERSITY LADIES TEAM!!
›
Hiki ndicho kikosi kazi kinachokimbiza pande za Arachuga kwa sasa kwa upande wa mpira netball, hawa madada ni baraha... hapa wakiwa katika ...
HIZI NI SWAGA TU ZA HUKO MBEYA CITY!!
›
Huyu ni mdau wangu wa huko mbeya city juz tu alinitumia picha hii akiwa katika poz kwa jina anaitwa Ivan
HARUSI YA KIFAHARI YA PRINCE WILLIAM NA MKEWE CATHERINE!!
›
Sherehe ya harusi ya kifahari ambayo haija wai kutokea katika miaka ya karibuni hapani Prince William na mkewe Catherine ndoa yao ilifungwa ...
USIOMBE UKAOA BINTI MZURI, ALIYESOMA LAKINI HAJUI KUPENDA!!
›
Mpenzi msomaji wangu, naamini wapo walioshituka kuona kichwa cha habari hicho hapo juu lakini ni ukweli usiofichika ambao leo nimelazimika ...
HIVI KWELI HIYO 50% KWA 50% WATAIPATA KWELI??
›
Madada zetu sasa mnazidisha, hivi huu uvaaji unaweza kweli ukawaletea hiyo asilimia 50 kwa 50 mnayoililia kila siku bungeni? kwa mavazi haya...
HII NI LOSHORO KUDA DEKI!!
›
Hiki ni chakula maarufu sana kwa kabila la wameru wanaopatikana huku Arusha na hata wamasai, huu ni mchanganyiko wa mahindi yaliyopikwa kama...
PASAKA HII WEE ACHA TU!!!
›
Watoto kama hawa hawakuwa nyuma kujiachia na msosi wa kumwaga kabla ya kwenda disco toto............. mh!! nawe umo kweli hakuna kuremba kwe...
›
Home
View web version