MDAU WETU LEO AKIPERUUUUZI NEWZ!!

Ingawa kaziba uso wake usionekane ila hope wengi wenu mnamfahamu sana huyu ni E.Kifumu wa Makumira University mdau mkubwa wa blog hii hapa akiperuz newz , ila jamaa kwa mahabari ya siasa ajambo, kip it up bro!!