KARIBU MDAU WANGU
ARUSHA MASIKA NOMA TUPU!!
Kila kukicha mambo ni yale yale mvua mvua tu kila dakika huku kibaridi cha mwanzo mwanzo kikitutesa hasa sisi wagumu wa ukweli tunateseka kimtindo ila uzarendo utatushinda one day tutasaka wenzetu tu.
‹
›
Home
View web version