Mdau wenu nikiwa katika pozi na msela wangu wa ukweli Kaoche wa Moro town maeneo ya luna mkoani morogoro hivi karibuni.
waiting for deal a kijanja si mnajua tena town mipango...........???
oya kama una mijihera nishikishe uchukue mzigo huo wa ukweli......? Mdau Dixon kulia na Kaiche wakipena dili za town.

