KARIBU MDAU WANGU
MNASOMA KWELI HILO GAZETI AU MNACHEKA TU?
Katika pita pita zangu niliwakuta hawa jamaaa zangu wa hapa Moro town wakifuraia maisha yao ya kua na jua kali kama jangwani, kutoka kushoto ni Mudi, Mteliban a.k.a ze president wa mtaa na Mama Mudi.
‹
›
Home
View web version