KARIBU MDAU WANGU
Mh!! tutapona kweli safari hii??
Kipindi kama hiki cha sikukuu ndege kama hawa huwa na wakati mgumu sana kwani huishi kwa mashaka mashaka kwa kuhofia kuchinjwa kwa ajili ya kitoweo cha sikukuu hizo.
‹
›
Home
View web version