WAUAJI WA YANGA HAWA HAPA!!

Kikosi cha Lupopo kilichoiadhiri Yanga kwenye uwanja wa Taifa. Matumaini ya Yanga kusonga mbele kwenye ligi ya mabingwa ni finyu mno kwani inahitaji kushinda mabao 2-0 ugenini baada ya kukubali kipigo cha mabao 3-2 Dar es Salaam