UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS?

HAYA BHAAAAANA PIA TULIENDA KUMUAGA MAMA WA MERU!!

hapa wadau wakimuaga kwa picha ya pamoja mama yetu wa hiyari wa huko meru.............
wifi yenu au shemeji yenu huyo hapo.....................
hapa mdau akishuka kilima........................
hapa akipanda kilima na chini mdau katika picha ya pamoja na mama....................
hii ni njia ielekeayo meru kuna vilima na miteremko si mchezo.......
hii ni njia ielekeayo meru full vilima na miteremko si mchezo, hapa mdau anashuka..........