UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS?

HARUSI YA KIFAHARI YA PRINCE WILLIAM NA MKEWE CATHERINE!!

Sherehe ya harusi ya kifahari ambayo haija wai kutokea katika miaka ya karibuni hapani Prince William na mkewe Catherine ndoa yao ilifungwa jana katiaka kanisa la wester minister, london Uingereza.....

huyu ni mama wa bi harusi catherine mke wa Prince william akipungia umati wa watu uliokusanyika mahari hapo...
Beckham na mkewe Victoria walikua kama wageni waalikwa, hapa wakiwasili eneo la tukio.....

Sir Elton John (shoga) akiwasili eneo la tukio akiwa na mume wake David Furnish........

wenzangu mimi walibaki makwao wakishuhudia kupitia luninga.....

hawa ni wakazi wa miami nchini Marekani.