UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS?

HONGERA MY SISTER PETRIDA KWA HATUA HII MUHIMU KATIKA MAISHA YA MWANADAMU!!!

Pichani mwana dada mrembo kwa kila kitu akiwa katika picha maridadi na muruaaaa juu ya kitanda huku akizungukwa na gauni kubwa zuri lenye shera maridhawa kitu cha white.......yaaan alipendeza kweli kweli.

Ama kweli kila binadamu ana matukio yake matatu,
la kwanza ni kuzaliwa, pili kuoa au kuolewa na hatimaye kufa ambalo ni
la tatu, so hapa mwanadada wa ukweli Petrida akitimiza tukio lake la pili muhimu hapa duniani ambalo ni ndoa
pichani juu akionekana akimlisha mumewe kipenzi raia wa
uberigiji keki. Duh!! ulaji huu unavuta hisia za watu walio wengi.....
kila la kheri dada katika maisha yako mapya huko Uberigiji.

Umekubali kuwa mke wa...... katika shida na raha, ugonjwa na furaha hadi mwisho wa maisha yenu?? nimekubali......... ndivyo inavyoonesha alikua anajibu hivyo hapa pichani.

Mwanadada Petty hakufanya ajizi akainama kwa unyenyekevu mbele ya Padri akaangalia panapotakiwa kupiga sign ya makubaliano ya ndoa.....mtoto akaanguka sign maradadi kabisa pais kuchakachua kama anavyoonekana pichani.

Likafuata tukio hili kwenye part duh!! watu mate yaliwatoka kwa wivu.......

Baada ya hapo mpango mzima ukawa hivi..........
Picha kwa hisani ya Sister wangu wa ukweli Petrida na hivi sasa yupo Uberigiji anafanya maisha yake pande za kule. Kila la khere dada na mtangulize Mungu kwa kila jambo.
FAMILIA NZIMA YA WANA BLOG HII WANAKUTAKIA MAISHA NA MASOMO MEMA HUKO ULIPO.