UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS?

MH!!! KINYWAJI GANI HICHO?

Mdau wangu mkubwa kutoka huko algeria anaitwa Helman Dondi dondi akiwa anapata kinywaji ila sijui ni kinywaji gani huku akidiscuss mambo na washikaji zake ndani ya chumba kimoja wapo cha hostel ya chuo chao, kwa sababu yeye ni mtanzania mzawa na wenzake wakaamua kiiita hostel hiyo MABIBO HOSTEL ya huko kwa jina lisilo rasmi ili kuenzi hostel za chuo kikuu cha Dar es salaam, ila mkubwa tuambie kua hicho ni kinywaji gani kabla wadau wengine hawajaanza kutoa maoni yao juu ya hicho unachokunywa....???!!!
au ushaanza nawe kupiga nganooooooooooooooo, kitu matingasi kama huku Arachuga wanavyopenda kuiita???? G9t bro!!