UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS?

MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WA RAIS KIKWETE 2010-2015 HAWA HAPA

Rais Jakaya Kikwete akitangaza baraza jipya la Mawaziri leo Ikulu jijini Dar es salaam
1. Ofisi ya Rais (Utawala Bora): Mathias Chikawe

2. Ofisi ya Rais – Mahusiano na Uratibu: Stephen Wassira

3.Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma: Hawa Ghasia

4. Ofisi ya Makamu wa Rais – ( Muungano): Samia Suluhu

5. . Ofisi ya Makamu wa Rais – (Mazingira): Dr. Terezya Luoga Hovisa

6. Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge): William Lukuvi

7. Uwekezaji na Uwezeshaji: Dr. Mary Nagu

8. Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI): George Huruma Mkuchika

Naibu: Aggrey Mwanri

Naibu: Kassim Majaliwa

9. Wizara ya Fedha: Mustapha Mkulo

Naibu: Gregory Teu

Naibu: Pereira Ame Silima

10. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi: Shamsi Vuai Nahodha

Naibu: Balozi Khamis Suedi Kagasheki

11. Wizara ya Katiba na Sheria: Celina Kombani

12. Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa: Bernard K. Membe Naibu: Mahadhi Juma Mahadhi

13 . Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa: Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi

14. Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi: Dr. Mathayo David Mathayo

Naibu: Benedict Ole Nangoro

15. Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia: Prof. Makame Mnyaa Mbarawa

Naibu: Charles Kitwanga

16. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi: Prof. Anna Tibaijuka Naibu: Goodluck Ole Madeye

17. Wizara ya Maliasili na Utalii: Ezekiel Maige

18. Wizara ya Nishati na Madini: William Mganga Ngeleja

Naibu: Adam Kigoma Malima

19. Wizara ya Ujenzi: Dr. John Pombe Magufuli

Naibu: Dr. Harrison Mwakyembe

20. Wizara ya Uchukuzi: Omari Nundu

Naibu: Athumani Mfutakamba

21. Wizara ya Viwanda na Biashara: Dr. Cyril Chami

Naibu: Lazaro Nyalandu

22. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi: Dr. Shukuru Kawambwa

Naibu: Philipo Mulugo

23. Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii: Dr. Haji Hussein Mpanda

Naibu: Dr. Lucy Nkya

24. Wizara ya Kazi na Ajira: Gaudensia Kabaka

Naibu: Makongoro Mahanga

25. Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto: Sophia Simba

Naibu: Umi Ali Mwalimu

26. Wizara ya Habari, Vijana na Michezo: Dr. Emmanuel John Nchimbi

Naibu:Dr. Fenella Mukangara

27. Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki: Samuel John Sitta

Naibu: Dr. Abdallah Juma Abdallah

28. Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika: Prof. Jumanne Maghembe

Naibu: Christopher Chiza

29. Wizara ya Maji: Prof. Mark James Mwandosya

Naibu: Eng. Gerson Lwinge

HABARI KWA HISANI YA MICHUZIPOST.COM