Hawali ya yote napenda kuwaomba ladhi wadau wangu wote kwa kuchelewa kuwaletea picha za matukio ya taamasha la kimataifa lililochukua nafasi pale Taasis ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo, si mnajua mtu mzima nilikua napiga mambo fulani ya field pande zile kula na mambo yalipojili basi tukawa tunajichanganya na gate pass zetu za bure kama wafanyakazi si mnajua tena mambo ya kujiachia hatujambo..... hilo hapo juu ndilo lililokuwa flies yao ya kulinadi tamasha la mwaka huu.
Na hapa chini mpango mzima watu wanadeku tu kwa raha zao live bila zengwe paformance za usiku kama kawa.....
Na hapa chini mpango mzima watu wanadeku tu kwa raha zao live bila zengwe paformance za usiku kama kawa.....
wajomba hawa nao walikuwepo lia walikua wakipaform asubuhi jukwaa la kwenye mwembe kwa wale waliofika katika chuo hicho wanalijua vizuri jukwaa hilo.
Mzee mzima Vitalis Maembe a.k.a mzee wa sumu ya Teja nae alisababisha kiukweli kunako tamasha la mwaka huu lililoanza tarehe 27/09/2010 na kikundi chake kama kawa walikimbiza vilivyo.