UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS?

TUPIGE VITA UTAMADUNI HUU.

Kadri siku zinavyosonga mbele na maadili ya duniani yanazidi kupotea na kuna baadhi ya wasomi kabisa wanafurahia kupolomoka kwa maadili hayo baadhi yao ni hawa watu wanaoutetea unadharia ya ufeminist kwa kusema kuwa watu hasa wanawake wakatae kufunga ndoa na wanaume kwa kudai kuwa ni adui wao namba moja katika dunia hii na hivyo kuhimiza watu wawe na ndoa ya jinsia moja kama baadhi ya mataifa ya kimagharibi yanavyoruhusu utamaduni wa ndoa ya jinsia moja, hizi ni baadi tu ya picha za wayu wanaoendeleza mchezo huu mchafu wa mapenzi ya jinsia moja.
Hawa ni madad wakiwa katika nyuso za kimahaba.... Hawa nao wakina kaka wanaonekana wakifanya michezo ya kimapenzi, ambao wao ni mashoga....
Hawa nao ni kama kawa ushoga kwa kwenda mbeleeeeeee.......................

TUKOMESHE TABIA HII KATIKA NCHI YETU WADAU