Mambo yalikua magumu sana siku hiyo vitu, majumba na mali nyingi za watu wa huko vilialibika vibaya, kama mnavyoona jumba hili la kifahari likiwa limebomolewa na tetemeko hilo kwani hata ikulu ya rais wao ilibomolewa...
hawa ni baathi tu ya majerui waliopatikana siku hiyo ya tetemeko la ardhi lililotokea huko haiti mwanzoni mwa mwaka huu 2010miundo mbinu, nyumba na barabara ziliharibika kwa kiasi kikubwa hadi leo wana haiti wamebaki kuishi kwa misaada tu kutoka mataifa makubwa....