Mtu ni afya na afya yenyewe inapatikana kwa kula matunda kama hayo......
unajua machungwa yanaongeza nini katika mwili wa binadamu na hasa mwanamume? Ngoja nikuambie mdau wangu, machungwa yanaongeza nguvu za kiume mara dufu huitaji kutumia viagra mwana dili ni machungwa tu...!! huyu ni muuza machungwa mkongwe pale mitaa ya kinondoni jijin dar es salaam.