Wadau wangu wa mbali na A-town hapa naizungumizia Arusha wananitumia messeji nyingi sana kwenye barua pepe yangu hapa naiongelea email ya matemboj@yaoo.com wanadai kua hawakifahamu kabisa chuo hiki cha wajanja wachache wanaopiga mawe ya llb, humanities na social science, theology na muziki nikaona isiwe tabu nikiwaletea baadhi tu ya picha za majengo na mambo mengine kama hayo ili muweze kukitambua japo kidogo au co? poa hapa mwanzo kabisa ni jengo la Administration ya chuo hiki cha Makumira. Haya ndiyo majengo ya mwanzo mwanzo kabisa ambapo yanatumika kutoa elimu ya dini hapa naizungumzia digrii ya kwanza na ya pili ya uchungaji
ama kweli old is gold..... mpaka leo yapo hayo majengo na kivutio cha watalii wengi tu....................... Hapa sasa ndiyo computer lab wanafunzi wakisearch material mbali mbali na wengine wakichati na mafriends zao ili mradi tu kila mtu anadili na mabo yake bila hiyana.........

hili ni moja ya lecture room inayopatikana Makumira college napaongelea class ambapo wadau walikutwa wakipigwa lecture