Hawa ni baadhi tu ya wanafunzi waliokua wanasubilia matokeo ya uchaguzi mkuu wa serikali ya wanafunzi chuoni Makumira, ilikua ni usiku wajamaa waliacha hata kwenda maclass kwa kusikilizia matokeo hayo ya uchaguzi wa Rais ambapo mchuano ulikua makali kati ya ndugu Somi wa llb1 na ndugu Mabara wa bed1 ila mwisho wa siku kuna waliopoteza kura zao bure kwa kumpigia Mr. Mabara na mshindi kuibuka Mr. Somi wa llb1 na kutangazwa kua rais mpya wa 2009/2010, pichani ni baadhi ya wanafunzi wa second year nawaona kama sister Ester na mwenzake Elisante na wengine ni third year law wakiyasubiri matokeo hayo.hawa ni baadhi tu ya wanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza wakishangilia ushindi wakati mwenyekiti wa tume ya uchaguzi akiwa bado hajayatangaza matokeo so cjaua walifahamu kua washashinda au???
hao kwa mbali ni wahesabuji wa kura zote zilizopigwa na wanafunzi chuoni hapo, picha ni ya mbali kwa sababu wanahabari na wanaharakati kama sisi hatukuruhusiwa kuingia ndani so cjajua kama wanajua kweli umuhimu wa vyombo vya habari aua alaaa? next time kunataka uhuru wa vyombo vya habari ufuatwe