Bwana Somi (llb1) aliyeshika mimbari ya matangazo wa pili kutoka kushoto akiwa na mafirst ladies wake sijui,huyu ndiye ambaye jana usiku aliibuka kidedea kwa kumuangasha mpinzani wake wa karibu bwana Mabara na yeye kutangazwa kua rais wa serikali ya wanafunzi wa chuoni Makumira (TUSOMUCO) kwa kipindi cha 2009/2010 na kuvunja record ya kua rais aliyechaguliwa kwa upinzani wa aina yake chuoni hapo, hapa mala baada ya kutangazwa kua mshindi aliongozana na wapiga kura wake hadi katika darasa lao la llb1 na kutoa nasaha pamoja na shukurani zake kwa wapiga kura pamoja na wapiga kampeni wake waliomuwezesha yeye ashinde jana usiku na mambo haya yote yalifanyika usiku huo huo. Katika hotuba yeke fupi rais huyo aliwaasa wapiga kura wake kua "kazi hii ni ngumu na mimi peke yangu sitoweza kuifanikisha ila nawaombatena ninyi kama mwanzo mlivyonipa suport ya kutosha basi hivyo hivyo muendelee kunisuport hadi nitakapo maliza kipindi changu cha kua madarakani kwa muda wa mwaka mmoja kama katiba yetu inavyosema......." kazi kwa kiasi fulani ameimaliza ila sasa anayo ya kuchagua baraza lake la mawaziri atakao ongozana naokatika kipindi hicho chote akiwa madarakani.......
mmmh! sijui mdau wenu dogo Johnson atanikumbuka katika nafasi za uwaziri wa wanafunzi coz nimempa suport sana...baadhi ya wapiga kura wake akisikiliza kile ambacho anakiongea bwana Somi jana usiku katika ukumbi wao wa lecter llb1
mmmh! sijui mdau wenu dogo Johnson atanikumbuka katika nafasi za uwaziri wa wanafunzi coz nimempa suport sana...baadhi ya wapiga kura wake akisikiliza kile ambacho anakiongea bwana Somi jana usiku katika ukumbi wao wa lecter llb1
saaaaaaaaaaaaaafi sana mzeeeeeeeeyaaaaaaaa!!!!! hawa ni wapiga kura wake bwana Somi wakifurahia ushindi wao jana usiku darasani kwao llb1....
mdau R. Ngogo wa Mzumbe University nae akiwa mwana llb1 wa chuo hiko alikuja kuwapa suport wana sheria wenzake mpaka wakashinda ila yeye hakupiga kura coz sio mwanachuo wa hapa, akiwa na General manager wa kampeni za bwana Somi ashinde na naibu waziri mstahafu wa michezo wa serikali ya tatu iliyopita ya wanafunzi chuoni hapa Mr. Papii bed 3.....
duh!! tumeshindwaaaaaaa? hao ni baadhi tu ya walimu wa first year wakijadiliana mala baada ya matokeo ya ushindi kutangazwa........