Jaman eeenhee!! mi kwa jina naitwa Johnson Matembo na huyu mnyama ndo asili ya jina la ukoo wetu si unajua si ni wenyeji wa wapi hapa TZ ila kihistoria wana tumetokea south Afrika kwa madiba coz ya vita na ubaguzi wa rangi ikatupasa kukimbilia huku kimtindo hou ila kama unakinyaka kizuru pooooa tuwasiliane tubonge ila kingoni mwana sikinyaki hata kidogo........
usishangae hiyo!!!
usishangae hiyo!!!