UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS?

AJABU YA KWELI???

Huyu mzee inasadikika kua kwa muda wa miaka 70 hajawai kutia kitu mdomoni mmmh!!! Mtakatifu au mzushi?
Raia mmoja wa India amegusa hisia za jeshi la nchi hiyo kutokana na madai yake kwamba haitaji chakula wala maji kumudu kuishi.Prahlad Jani anadai yeye ni 'breatharia',yaani mtu anayeweza kuishi kwa kutumia nguvu za asili za kiimani.Anadai anapata nguvu hizo za asili kutoka kwa 'mungu wa kike' anayemmwagia kimiminika (elixir)cha miujiza katika paa la chini la mdomo wake (palate),kwa mujibu wa gazeti la Telegraph la London.