hawa ni watoto wadogo kabisa ambao wanaitaji kwenda shule ila sasa nilitembelea maeneo ya kisongo mkoani Arusha nikakuta watoto wengi wa rika kama hili wakiwa wanafanya kazi za kuchunga ng'ombe na mifugo mingine ila sijui kwa kua ni watu wa jamii ya ufugaji thats why hawajishughurishi na mambo ya masomo au vipi ila nadhani elimu hinaitajika na kwao pia...