Hizi nyumba za namna hii zinapatikana zaidi maeneo ya wafugaji hasa huku mkoani Arusha maeneo ya kisongo .......cha ajabu sasa nyumba hii haina dirisha hata moja na watu wanadoro humo humo ila kuna katundu kadogo na hiko ndicho kilichonivutia zaidi kwani sikujua wanaishi vipi watu hao jamii ya kimasai kwenye nyumba ambayo haina hata dirisha.