UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS?

MDAU WENU NAUMWA NA TAYA!!

Daaah!! kuumwa kiungo chochote katika mwili wako ni noma kwani mdau wenu nilikua naumwa taya langu la kushoto thats why mdau naonekana kama nimekonda fulani hivi coz kula ilikua ngumu sana ila now namshukuru Mungu hari yangu inaanza kurejea kawaida japo kidogo