Dah!! njaa kweli mwanaharamu coz ilikua kama mida ya ngoma nne hivi asubui, maza kaniagiza nikamchekie mkwanja wake NBC so coz njaa ikawa inauma sana kama vile jana yake nililalia nyagi nikaona sio issue nikazama maeneo ya terminal ndogo ya hiace nikapata mambo kama haya, hapa mwana akinitengenezea mambo fulani ya shavu ya chipsi kama ivyo..... mwana akaniletea kunako table joh!! mambo yakaendelea..... ila shiiiiiiiii!!! msimwambie mama sawa nyie wanoko???