UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS?

MWANAMKE WA UKWELI NDO HUYO!!

Pateni kumwona mwadada mtunisha misuli wa huko mbefele mbefele kwa Obama kisura ni mzuri kweli kweli lakini mambo yake daaaah!!, swali ni kwamba masister du wa hapa Bongo mnaweza kazi hii........................??? Hapa akitunisha mkono wake kuwaonesha wadau.... Njoo ujaribu na wewe mdada, mbona mi naweza........................??

Na hii je, mtajaribuuuuuuu joh????
Kuja hapa wewe choya unapima joh??