UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS?

DUH!! MORO KAZI IPO.

Kwanza, mji kasoro bahari kuna joto la maana tunacheza na nuzi joto ya 35c ikipungua 34c, pili mtu kibao kama hapa pichani inavyoonekana, ni maeneo ya katikati ya mji magari kibao, mtu nyomi na bila kusahau kero za pikipiki na baiskeli yaani dah!! ukizubaa tu unabebwa na chombo kimoja wapo, pembeni hapo kuna jamaa kabeba mafuta ya petroli bila kujali hatari yake, so wadau wangu mkiwa mji huu jiadharini na vitu hivyo na kuna matapeli wa kumwaga ukishangaa tu unaingizwa town na watoto wa mjini. Dah!! serikali ya mkoa imeamua kutukumbuka kwa kurenew rami kama mnavyoona barabara ya kuingia katikati ya mji kasoro bahari ishaanza kuwekwa kokoto kwa ajili ya rami hiyo mpya
si mnakiona kitu hicho.....???