Huyu ndiye mdau wangu mkubwa anaekwenda kwa jina la Ngogo J.R ambaye huwa anatutumia habari mbali mbali zinazotokea panda za mzumbe university na pamoja na zile za Jiji la maraha nazungumzia Dar es salaam, hapa akiwa darasan akijiandaa na mitihani yao ya UE inayofanywa leo chuoni hapo..... hapa mdau wetu Ngogo kushoto akiwa na mdau mwingine ambae jina lake halikuweza kufahamika mara moja, hapa wakiwa chumbani mwao chuoni hapo.......
hapa wadau wakiwa wanajiandaa andaa na pepa lililoanza leo chuoni hapo kwa mbali ni maua yanayopatikana chuoni hapo wadau hawa wanapiga mzigo wa law chuoni...........
hapa wadau wakiwa wanajiandaa andaa na pepa lililoanza leo chuoni hapo kwa mbali ni maua yanayopatikana chuoni hapo wadau hawa wanapiga mzigo wa law chuoni...........