UNALIJUA HILI/ DID YOU KNOW THIS?

HAPPY VALENTINE WADAU WANGU

SIKU YA WAPENDANAO NDIYO HIYO IMEWADIA TAR.14/02/2010 SIKU YA JUMAPILI, WATU WOTE DUNIANI KOTE WANAIFURAHIA SIKU HII KWANI NI SIKU YA KUONYESHA UPENDO KWA WALE WOTE UNAOWAPENDA NA USIO WAPENDA, SASA BASI NIKUWA KAMA MDAU MKUU WA BLOG HII NAWAOMBA WADAU WENZANGU TUISHEREHEKEE SIKU HII KWA AMANI NA UPENDO KAMA ILIVYO SIKU YENYEWE TUSIENDEKEZE NGONO UZEMBE BALI TUWAPENDE WENZI WETU SI KWA KUFANYA NGONO TU BALI KWA KUONYESHA NI JINSI GANI UNAMPENDA MWENZI WAKO KWA KUMPA MAPENZI YA UKWELI NA SI YAKUDANGANYANA NA MWISHO TUKAISHIA KUKOHOA.
ONYO: NO GROVES NO SEX!!